Get your smartphone today
Pay little by little
Kwanini uchague MOGO?
- Kianzio nafuu: Anza na malipo ya awali ya asilimia 23% tu ya bei ya simu.
- Pata simu ndani ya dakika 10
- Mkopo wa miezi 6, 9 and 12.
Leave contacts and get an offer
Jinsi inavyofanya kazi
Jinsi inavyofanya kazi
Hatua nne tu kutoka dukani hadi kutumia simu yako mpya.
- Tembelea duka – Nenda kwenye duka lolote la simu lenye alama ya MOGO lililo karibu nawe.
- Chagua simu unayohitaji – Chagua modeli unayoipenda kutoka kwenye brandi zilizopo.
- Kamilisha maombi – Wasilisha Kitambulisho chako cha Taifa (NIDA). Wakala wa mauzo atawasilisha maombi yako kupitia MOGO Sales App.
- Ondoka na simu yako – Lipa malipo ya awali na uondoke na simu yako mpya siku hiyo hiyo.
Mahitaji ya kupata mkopo wa simu janja
- Umri kati ya miaka 21 na 65.
- Kitambulisho cha Taifa (NIDA).
- Namba ya simu inayopatikana.
- Kiasi cha malipo ya awali ya simu uliyochagua.
Frequently asked questions
Ni mahitaji gani ya kupata mkopo wa simu janja?
Naweza kuomba mkopo wa simu janja mwenyewe mtandaoni?
Nitalipaje marejesho yangu?
Nimelipa, lakini simu bado imefungwa. Nifanye nini?
Je simu yangu ina dhamana?
Nini kitatokea kama simu yangu imepotea au imeibiwa?
Je, naweza kutumia simu yangu bila intaneti ikiwa imefungwa?
Je, naweza kubadilisha namba ya simu niliyoombea mkopo?
Je, naweza kurudisha simu kabla ya kumaliza kulipa marejesho yangu(deni langu)?
Nawezaje kuwa Mshirika wa MOGO?
Hatua za maombi zikoje?