Payments
To get precise payment information please refer to your agreement!
Vodacom
- Bonyeza *150*00#
- Chagua namba 4 (Lipa kwa M-Pesa)
- Chagua namba 4: (weka namba ya kampuni) 500123
- Weka namba ya kumbukumbu ya malipo(Namba ya Mteja kwa malipo ya awali au Namba ya Kibao yako ikianza na MC kwa rejesho la wiki)
- Weka kiasi cha pesa
- Weka Namba ya Siri (PIN)
- Thibitisha malipo (namba moja)
Airtel
- Bonyeza *150*60#
- Chagua namba 5 (Fanya Malipo)
- Chagua namba 4: (weka namba ya biashara)
- Ingiza namba ya malipo 500123
- Weka namba ya kumbukumbu ya malipo(Namba ya Mteja kwa malipo ya awali au Namba ya Kibao yako ikianza na MC kwa rejesho la wiki)
- Weka kiasi cha pesa
- Thibitisha malipo (chagua namba moja kukubali)
- Weka Namba ya Siri (PIN)
Mixx by Yas
- Bonyeza *150*01#
- Chaguo namba 4 (Lipa Bili)
- Chaguo namba 4: (weka namba ya biashara) 500123
- Weka namba ya kumbukumbu ya malipo(Namba ya Mteja kwa malipo ya awali au Namba ya Kibao yako ikianza na MC kwa rejesho la wiki)
- Weka kiasi cha pesa
- Weka Namba ya Siri (PIN)
- Thibitisha malipo
Bank payment
- Recipient Name: Mogo CreditLimited
- Bank: NMB
- Branch: 248
- Account Number: 24810026821
- Payment reference: your agreement number
If you need help with your loan balance and/or payments, please call us 069 0000 222